Kikokotozi hiki kinakusaidia kuchambua mahitaji yako ya kiwanja, nyumba gani ujenge, kujua gharama ya kujenga nyumba, gharama ya kila steji ya ujenzi wako (msingi, kuta, paa, maji, umeme…), kujua kiasi gani cha tofali na batiΒ zitahitajika kujengea nyumba yako, kujua kiasi cha mkopo unaoweza kupata benki na kila mwezi utakuwa unarudisha kiasi gani benki.
Hiki kikokotozi ni kizuri sana ijapokuwa ni kizito maana kina mahesabu marefu ya kihandisi kwa hiyo ni vyema ukitumie ukiwa na kompyuta. Ni kizuri sana na kinahitaji utulivu.
[ihc-hide-content ihc_mb_type=”show” ihc_mb_who=”2,5″ ihc_mb_template=”1″ ]
[super_form id=”19744″]
[/ihc-hide-content]