Nina ujuzi wa kutengeneza mabanda ya mbwa ambayo yana uwezo wa kukaa na mbwa kuanzia mmoja na kuendelea pia nina zingatia usalama wa mbwa kwani mabanda yana wekewa makomeo yaliyo imara na mbwa ana kuwa kwenye ulinzi zaidi pia mteja wangu nampatia gharama nzima ya utengenezaji wa banda la mbwa na nina hakikisha nampatia mteja wangu ushauri bure kabisa
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Mbao | 2Γ4 | 15 | per-item |
Mbao | 2Γ2 | 10 | per-item |
Other Services from Building Designing Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!