A 3-bedrooms modern family house that is affordable and enough for your family
Published10 Sep 2017
Modified2 Jan 2026
AuthorLwifunyo Mangula
Repayment: —
Required Salary: —
Manage 0 Units
Average term: —
Good
Nyumba ya vyumba vitatu
Good houses
excellent
Hii Nyumba ni nzuri Kwa mtu mwenye familia isiyo kubwa around watu 6-7... Ila ni nzuri sana Kwa mtu anayetaka Nyumba ya gharama nafuu, kama vile vijana waliomaliza chuo au wajasiriamali wanaotaka kujenga Nyumba harakaharaka; pia wanaojenga Nyumba za kupangisha Ili ziwalipe faida haraka. Ni Nyumba nzuri sana.
Nahitaji ramani nzuri ya kisasa nyumba vyumba vitatu, jiko, dining na mini store inayotosha kiwanja cha 15*15