Discover Services

Oct 2024
Ninatoa huduma ya kutengeneza kuta za TV (TV showcase) kwa ubora na ubunifu wa kisasa, na kufanya chumba au sebule yako ibaki na mvuto.
Gypsum Decoration, Building Designing
Countrywide
TZS 240,000 – 330,000
Item
Item

Aug 2024
Nina ujuzi wa kupiga rangi na kuweka urembo kwenye sakafu (epoxy floor) na kuacha sakafu yako ukiwa na mvuto mzuri Kwa huduma hii nafika mikoa yote ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Flooring
Countrywide
TZS 1,600,000 – 2,200,000
Square Metre
Square Metre

Aug 2024
Nina toa huduma ya ufungaji wa taa kwenye bustani, Kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa, huduma hii unaipata popote pale Tanzania na nchi jirani za Africa
Light Installation
Countrywide
TZS 24,000 – 33,000
Square Metre
Square Metre

Aug 2024
Mtengeneza bustani
Gardening
Continental
TZS 640,000 – 880,000
Square Metre
Square Metre

Oct 2024
Nina toa huduma ya utengenezaji wa mageti ya majumbani ya kisasa yenye ubora na mvuto mzuri huduma hii unaweza kupata popote pale ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Welding
Countrywide
TZS 1,200,000 – 1,650,000
Item
Item

Aug 2024
wiringi katika nyumba yako ina hitaji mtu mwemye uzoefu wa mda mrefu na mwenye anajua ayo mambo ili kuepusha marekebisho ya kila siku na fundi temba nipo mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10
Wiring
Continental
TZS 16,000 – 22,000
Day
Day

Aug 2024
Nina jihusisha na uwekaji wa tiles na urembo Kwa kutumia tiles majumbani Kwa kutumia vipimo na ubunifu wa kisasa zaidi Kwa huduma hii unaweza kuipata popote pale ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Tiling
Countrywide
TZS 4,000 – 5,500
Square Metre
Square Metre

Aug 2024
Tuna toa huduma ya ufungaji wa wiring majumbani, maofisini na kwenye magorofa Kwa kuzingatia umakini na ubora wa hali ya juu
Electricity Safety, Wiring
Countrywide
TZS 240,000 – 330,000
Square Metre
Square Metre

Aug 2024
Fundi wa kuweka paving katika nyumba
Paving
Countrywide
TZS 3,200 – 4,400
Square Metre
Square Metre

Aug 2024
Nina jihusisha na uwekaji wa tiles majumbani Kwa ubunifu na kisasa , Kwa huduma hii nafika mikoa yote ya hapa Tanzania na nchi jirani za Africa
Tiling
Countrywide
TZS 2,400 – 3,300
Square Metre
Square Metre

Sep 2024
nafanya-skimming-nyumba-aina-zote-kwa-kuzingatia-ubora-na-ustadi-na-kwa-uaminifu-mkubwa
Plastering
Countrywide
TZS 24,000 – 33,000
Room
Room

Oct 2024
Nina weka tiles majumbani kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa zaidi pia nafika popote pale Tanzania.
Tiling
Regional
TZS 2,000 – 2,750
Square Metre
Square Metre

Sep 2024
Nina toa huduma ya kupaka rangi aina ya drewa na biko tekx kwa ubora zaidi
Color Mixing, Painting
Countrywide
TZS 80,000 – 110,000
Room
Room

Aug 2024
Natoa huduma ya upauaji wa Mapaa Kwa kutumia Mia mabati ya vigae (versatile) kwa ubunifu wa kisasa ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Tile Roofing
Continental
TZS 1,200,000 – 1,650,000
Single Floor House [150 SQM]
Single Floor House [150 SQM]

Aug 2024
Nina jihusisha na ufungaji wa wiringi(wiring installation)majumbani Kwa kutumia ubunifu na umakini mkubwa huduma hii unaweza kuipata popote pale ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Wiring
Countrywide
TZS 120,000 – 165,000
Square Metre
Square Metre

Sep 2024
Nina jenga mabanda ya kuku kwa kuzingatia ubora na maelekezo ya mteja wangu pia nafika mikoa yote Tanzania.
Building Designing
Countrywide
TZS 200,000 – 275,000
Square Metre
Square Metre

Jul 2024
Huduma ya ujenzi nyumba ya familia ya kisasa kwa ubora, weledi pamoja na uimara wa hali ya juu popote pale Africa Mashariki
House Building
Continental
TZS 220,000 – 302,500
Square Metre
Square Metre

Aug 2024
Fundi wa gypsum katika nyumba mbalimbali
Gypsum Decoration
Continental
TZS 2,000,000 – 2,750,000
Single Floor House [150 SQM]
Single Floor House [150 SQM]

Aug 2024
Nina toa huduma ya kuweka gypsum board na urembo kwenye korido za nyumba na mahotelini Kwa ubunifu wa kisasa na ubora Kwa mikoa yote ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Gypsum Decoration, Structural Designing
Countrywide
TZS 1,200,000 – 1,650,000
Single Floor House [150 SQM]
Single Floor House [150 SQM]

Sep 2024
fundi-ninayefanya-painting-kwenye-nyumba-yako-kwa-kuzingatia-ubora-na-viwango
Painting
Countrywide
TZS 20,000 – 27,500
Day
Day

Oct 2024
Nina tengeneza mabanda ya kuku na Bata yenye ngazi na yasiyo na msingi wa matofali kwa ubora na kisasa zaidi.
Carpentry, Masonry, Wood Work, House Building
Countrywide
TZS 100,000 – 137,500
Square Metre
Square Metre

Aug 2024
Kwa upoaji mzuri wa mabati ya aina zote kwa kuzingatia ubora na weka ni mzuri ili kuwezesha mabati kuto kupata kuto kwa muda mrefu
Sheet Roofing
Continental
TZS 24,000 – 33,000
Month
Month

Aug 2024
Nina toa huduma ya ufungaji wa mabomba kwenye ma tanki ya maji kwa ubora wa kisasa zaidi,Kwa huduma hii nafika mikoa yote hapa Tanzania na nchi jirani za Africa
Plumbing
Countrywide
TZS 240,000 – 330,000
Item
Item

Aug 2024
Nina toa huduma ya uwekaji tiles za ukutani na kwenye sakafu za vyoo na mabafu Kwa kuzingatia ubora wa vipimo na kisasa zaidi
Tiling
Countrywide
TZS 2,800 – 3,850
Square Metre
Square Metre