Mimi ni fundi wa kufanya welding madirisha kwa ajili ya nyumba yako na uzoefu zaidi ya miaka tisa nafanya kazi hii kwa ubora kabisa na kwa kuzingatia vipimo
Fundi mwenye uzoefu wa kufanya plumbing katika nyumba zote, ghorofa, na nyumba za kawaida. Nina uzoefu wa miaka mingi katika kazi hii ya uwekaji wa mabomba. Niko Dar es Salaam naweza kuweka mabomba ndani na nje kwa matumizi ya maji safi na maji machafu, pamoja na mashimo ya maji taka.
Mimi Alibert ni fundi ninaye tengeneza biodigester zenye ubora na kidumu Kwa muda mrefu Kwa kutumia uzoefu nilio nao na teknolojia ambayo itasaidia kuaankwa muda mrefu na kutoka garama zingine
Mimi ni fundi ujenzi mwenye uzoefu na niliye bobea kwenye swala zima la kuchimba msingi wa nyumba na kujenga hadi kwenye linta pamoja na kupiga plaster Kwa kutumia vipimo na vifaa pia nina toa ushauri bure Kwa mteja wangu kulingana na aina ya nyumba anayo itaka Kwa kuzingatia ukubwa wa eneo lake
Mtaalamu wa kujenga na kurekebisha mapaa ya nyumba mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 23, anayepatikana Tanzania. Anajulikana kwa ustadi wake katika ujenzi wa mapaa ya nyumba, kupiga dari, pamoja na uwekaji kuta na mapambo ya gypsum. Ally amekuwa akitoa huduma kwa uaminifu mkubwa na amepata mafunzo maalum katika kuweka vigae vya Decra, hivyo kuhakikisha ubora katika kazi zake.
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!