Nina ujuzi wa kutengeneza mabanda ya kuku ambayo yana uwezo wa kuingia kuku kuanzia mia na zaidi kwa kuzingatia ujuzi na ubunifu wa kisasa, pia nina tumia vifaa imara ambavyo vina nisaidia kwenye swala zima la kujenga banda langu pia nina hakikisha mteja wangu namsikiliza kwa kile anacho kitaka na pia nina hakikisha mteja ana patiwa gharama nzima za utengenezaji wa banda la kuku na Bata na kuhakikisha mteja ana ridhika na kazi yangu na mwisho kabisa tuna zingatia muda wa kumaliza kazi zetu.
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Tofali | Kwa ajili ya msingi na ukuta | 500 | per-item |
Wire mash | Kwa ajili ya local cages na madirisha | 10 | per-metre |
Mbao | 2Γ4 | 90 | per-item |
Mbao | 2Γ2 | 50 | per-item |
Mbao | 1Γ10 | 15 | per-item |
Mbao | 1Γ6 | 10 | per-item |
Mabati | Kwa ajili ya kuezekea paa | 40 | per-item |
Misumari | 1.5 inch | 4 | per-kilogram |
Misumari | 4 inch | 5 | per-kilogram |
Misumari | 3 inch | 5 | per-kilogram |
Other Services from Building Designing Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!