Nina ujuzi wa kutengeneza mabanda ya kuku ambayo hayana msingi wa matofali kwa kuzingatia ubora na umakini wa hali ya juu na pia mabanda haya yana ngazi ambazo zina muwezesha kuku kuingia kwenye banda bila shida yeyote ile na pia nina mpatia mteja wangu gharama nzima za ujenzi wa banda na nina hakikisha kazi ina kamilika kwa wakati pia ushauri kwangu ni bure kabisa kwani nina uzoefu wa kutosha hivyo ina nisaidia kumshauri mteja wangu ili apate kilicho bora.
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Mbao | 2Γ4 | 50 | per-metre |
Mbao | 2Γ3 | 50 | per-metre |
Misumari | 5 nch | 10 | per-kilogram |
Misumari | 4 nch | 20 | per-kilogram |
Misumari | 2 nch | 4 | per-kilogram |
Misumari | Misumari ya bati | 5 | per-kilogram |
Other Services from Carpentry, Masonry, Wood Work, House Building Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!