Tunajenga mabanda ya tofali na kuezekwa bati kwa ajili ya kuku na mifugo kwa gharama nafuu na viwango vya unafuu popote nchini Tanzania. Ufundi wetu umejikita kuhakikisha linakuwa linaloweza tumika lakini kikubwa liwe la gharama nafuu na kutumika kwajili ya ufugaji wako. Banda lako litajengwa kulingana na ukubwa ambao utauchagua mteja na eneo amablo utachagua popote Tanzania. Kwa kuongeza, tunatoa ushauri wa kitaalamu kuhusu ujenzi wa mabanda ya mifugo kama kuku, mbwa, ng’ombe, bata, njiwa, mbuzi… Lengo letu ni kusaidia wafugaji nchini Tanzania kuboresha uzalishaji wao kwa gharama ambazo ni rafiki kwa bajeti zao.
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Mbao | 2Γ4 | per-item | |
Mbao | 2Γ2 | per-item | |
Bati | Kwa ajili ya kuezekea banda | per-item | |
Misumari | 1.5 inch | per-kilogram | |
Misumari | 4 inch | per-kilogram | |
Misumari | 3 inch | per-kilogram | |
Cement | per-item | ||
Mchanga | per-item | ||
Nyavu | per-item | ||
Others | per-item |
Other Services from Carpentry, Masonry, Wood Work, House Building Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!