Nina ujuzi wa kuweka tanga stone kwenye nyumba kwa kuzingatia ubora wa kisasa na kwa ubora wa hali ya juu pia nina msikiliza mteja wangu kwa kile anacho kihitaji na kuhakikisha na fanya kazi yangu kwa viwango vya hali ya juu,pia niko na mafundi walio bobea kwenye uwekaji wa tanga stone hivyo ina saidia katika kukamilika kwa kazi ndani ya wakati pia nina hakikisha mteja wangu ana patiwa orodha nzima ya vifaa vitakavyo tumika kwenye ujenzi huo na kumpatia
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Tanga stone | per-square-metre | ||
Cement | per-kilogram |
Other Services from Electricity Safety, Security Systems Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!