Nina ujuzi wa kuweka tiles kwa ubora na kisasa zaidi na kwa kuzingatia ubora wa kisasa na ubunifu wa hali ya juu, pia niko na mafundi ambao wame bobea kwenye swala zima la uwekaji wa tiles za ukutani pia mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna mpatia ushauri bure kabisa na kuhakikisha ana ridhishwa na kazi zetu na pia mteja ana sikilizwa kwa kile anacho kitaka na mwisho tuna mpatia gharama nzima za uwekaji wa tiles na kuhakikisha ana ridhika na kazi yetu kabisa
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Tiles | per-square-metre | ||
Cement | per-kilogram |
Other Services from Electricity Safety, Security Systems Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!