Nina ujuzi wa kuweka urembo kwenye gypsum board pamoja na kupaka rangi kwa kuzingatia ubora wa kisasa na ubunifu wa kisasa zaidi pia nina ambatana na mafundi wenye uzoefu katika swala zima la uwekaji wa urembo pamoja na upakaji wa rangi na kuhakikisha kazi inaisha kwa wakati na mteja ana ridhika na kazi zetu kabisa pia mteja ana patiwa ushauri wa aina ya rangi ya kutumia pia na pambo linalo leta mvuto kwenye nyumba,pia mteja anapatiwa gharama nzima ya uwekaji wa urembo na upakaji wa rangi
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Gypsum board | per-item | ||
Mbao | per-metre |
Other Services from Gypsum Decoration Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!