Nina ujuzi wa kutengeneza na kuweka milango ya chooni Kwa kutumia aluminium Kwa njia ya kisasa na kwakutumia vifaa vyangu Mimi mwenyewe binafsi ,pia nina msikiliza mteja ana taka mlango uwe wa aina gani, natumia vipimo kupima eneo la mlango wa Choo na kumpatia mahesabu ya gharama zitakazo tumika kwenye ujenzi
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Aluminium | per-second | ||
Malini board | per-second |
Other Services from Door Installation, Glass Tinting Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!