Nina ujuzi wa kuweka tiles kwenye sakafu za nyumba na kuacha nyumba yako ikiwa na mvuto wa kutosha pia nina hakikisha mteja ana patiwa gharama nzima ya uwekaji wa tiles kulingana na square meter ya eneo ambalo anaweka tiles pia nina mpatia mteja wangu ushauri bure kabisa pia nina ambatana na mafundi walio bobea kwenye uwekaji wa tiles
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Tiles | per-square-metre | ||
Cement | per-kilogram |
Other Services from Tiling Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!