Nina ujuzi wa kujenga mabanda ya kuku imara kwa kutumia mbao na nina zingatia ubora wa kazi na kufanya mteja aweze kuridhika na kazi yangu, nina mpatia mteja wangu gharama nzima za ujenzi wa banda na kuhakikisha kazi ina anza kwa wakati na kukamilika kwa muda tulio kubaliana pia nina hakikisha mteja wangu ana patiwa ushauri bure kabisa kulingana na uzoefu niliyo nao kwenye kazi hii na nina ambatana na mafundi wenzangu ambao wame bobea na wana fanya kazi ina kuwa ya ubora wa hali ya juu.
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Mbao | 4Γ2 | 100 | per-item |
Mbao | 2Γ2 | 50 | per-item |
Mbao | 1Γ6 | 15 | per-item |
Mbao | 1Γ10 | 45 | per-item |
Mabati | Kwa ajili ya kuezekea paa | 45 | per-item |
Misumari | 1.5 inch | 5 | per-kilogram |
Misumari | 3 inch | 4 | per-kilogram |
Misumari | Kwaajili ya bati | 5 | per-kilogram |
Other Services from Building Designing Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!