House Plan ID-17529, 3 bedrooms, 3491+1736 bricks and 134 corrugates
195
sqm Coverage
15.8
m Length
14.5
m Width
A Bit Premium Cost Implication
$250
★★★★★
(1 customer review)
- Thinking
- 9634
- Dreaming
- 9
- Discussing
- 17
Shortcuts
Menu
1 review for House Plan ID-17529, 3 bedrooms, 3491+1736 bricks and 134 corrugates
Ally –
Napenda kujua ukubwa was vyumba. Pia napenda kiongezeke chumba kimoja
Makazi Team –
– Ukubwa wa vyumba ni around 4x4mita kwa vya kawaida na master ni 4.5×4.5mita
– Inawezekana kuongezewa chumba ikawa na 4 ijapokuwa itahitaji kuifanyia marekebisho ramani ambapo ada ya kukufanyia marekebisho yako binafsi imeoneshwa hapo juu ambayo ni Tshs. 1,250,000/=; baada ya malipo then utaanza kuandaliwa na itachukua siku ~14 kukamilika
– Waweza pia angalia nyumba nyingine za vyumba 4 ktk link hii https://makazi.network/designs/shop/?fwp_number_of_all_bedrooms=4
– Kwa msaada zaidi +255-657-685-268 (namba iliyoandikwa chini ktk website)