Kuna njia nyingi za kupata mitaji ya ujenzi, hapa chini tumezichambua katika makundi makuu 3 ambayo yanaweza kukusaidia kujenga mtazamo wa namna ya kuweza kukamilisha mtaji wa kujengea nyumba yako. Mwisho wa siku utaweza jua ni ipi ambayo inakufaa zaidi kwako binafsi.