Africa Residential Development Platform

Discover, Plan, Estimate, Hire Experts & Build Your Home Efficiently!

Choose the Ideal House Plan for Your Needs, Plot, Budget, and Preferences. Hire Our Top Professionals to Build Your House Well, or Browse Available Services to Start Your Project Immediately. Select Based on Preferences, Budget, Location, Style, and Payment Mode for Efficient Home Building. Our Professionals Are Eager to Travel Anywhere to Come to Work in Your Project!
House Plans

Choose House Plan According to Size, Style, Budget, Plot, Preferences With Customization

Professionals

Explore Trade Professional, Skills, Experience, Locations, Chat, Quotes & Hire The Best

Services

Discover Instant Trade Services Perfect For Your Home Project At Affordable Prices

Don't Sleep Until You Own It!

House Plans

Professionals

TZ
From TZS 40,000/day
Mpwapwa
24 years
Mimi ni mtaalam wa kupaka rangi majumbani kwa kuzingatia ubora wa kisasa na kwa kuzingatia umakini wa hali ya juu pia nina ambatana na mafundi wenye uzoefu na walio bobea kwenye swala zima la upakaji wa rangi na kuhakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu pia tuna zingatia muda wa kuanza na kukabidhi kazi kama tulivyo kubaliana na mteja wetu.
Painting
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
13 years
2 months
Mimi ni fundi niliye bobea kwenye utengenezaji wa mageti,milango ya chuma, madirisha na aluminium pamoja na kumuwekea mteja kwenye nyumba yake Nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi hii.
Steel Fixing Door Installation Gate Installation Metal Work Welding Window Installation
TZ
From TZS 10,000/day
Town
15 years
Kwa uwekaji wa njia za maji kwenye nyumba Yako au Kwa ubora wa Hali juu Kwa kitumia vifaa inara na njia za kisasa kabisa
Plumbing
TZ
From TZS 25,000/day
Nyamagana
6 years
Fundi wa kuweka mapambo katika nyumba
Gypsum Decoration
TZ
From TZS 30,000/day
dar
11 years
mim ni fundi wa ufungaji wa mabomba maofisini majumbani na hata kwenye makampuni mbalimbali kwa kuzingatia ubora ulio na uaminifu mkubwa kama ilivyo kauli mbiu yetu
Plumbing
TZ
From TZS 100,000/day
Ilala
11 years
Experienced Building/ Bridge/ Structural Engineer with over 7 years in designing and supervising large-scale infrastructure projects. Expertise includes feasibility studies, detailed engineering designs, and technical audits for World Bank-funded projects. Adept at managing complex bridge and drainage structures across Tanzania, with a proven track record of delivering high-quality, cost-effective solutions.
Building Designing Cost Estimation Project Management Project Planning Structural Designing Technical Drafting

Pro Services

Aug 2024
Nina uzoefu na ujuzi wa kuchomelea na kutengeneza milango ya chuma Kwa ubunifu na kisasa zaidi huduma hii unaweza kuipata mikoa yote ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Door Installation, Welding
Countrywide
TZS 4,800,000 – 6,600,000
Item
Aug 2024
Tuna toa huduma ya uchimbaji na kuweka bomba za umeme majumbani, magorofani pamoja na fensi za majumbani na ofisi, Kwa huduma hii tunakufikia popote pale Tanzania na nchi jirani za Africa
Electricity Safety, Wiring
Countrywide
TZS 240,000 – 330,000
Square Metre
Aug 2024
Tuna funga uzio wa fensi ya umeme majumbani, maofisini, viwandani na sehemu yeyote Ile inayo hitaji ulinzi wa fensi ya umeme
Electricity Safety, Security Systems
Countrywide
TZS 15,200 – 20,900
Metre
Aug 2024
Nina toa huduma ya kupaua Kwa kutumia mabati ya Msouth migongo mipana na midogo Kwa ubunifu na kisasa zaidi Kwa mikoa ya Tanzania na nchi jirani za Africa
Sheet Roofing, Shingle Roofing, Tile Roofing
Countrywide
TZS 1,600,000 – 2,200,000
Single Floor House [150 SQM]
Sep 2024
nina-toa-huduma-ya-kutengeneza-ngazi-zenye-taa-kwa-kutumia-ubunifu-wa-kisasa-na-kwa-kwa-huduma-hizi-nakufikia-popote-pale-tanzania
Lighting Designing
Countrywide
TZS 160,000 – 220,000
Square Metre
Jul 2024
Tunakuandalia mageti ya chuma yaliyo imara, mwonekano wa kuvutia, yenye kudumu, yenye ubora wa hali ya Juu
Gate Installation, Metal Work, Welding
Countrywide
TZS 1,600,000 – 2,200,000
Item

Are You an Expert in Residential Housing Who is Interested to Work With Us?

Educate and inspire more people to achieve better housing;

Join us if you are a professional Architect!

Join Membership

Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!

Eng. Lwifunyo Mangula
Payment Challenges? WhatsApp Admin