From TZS 90,000/day
House design 47 ni wataalamu wazuri tuliojikita ktk kufanikisha nyumba ya ndoto kwa wateja wetu; tumejikita katika kuandaa ramani, makadirio hadi ujenzi. Tunafanya kazi kwa ubora, weledi, urafiki na ustadi. Popote Tanzania tunasafiri kukujengea!
From TZS 75,000/day
Jenga Nyumba Bora Yenye Kiwango na Thamani!
From TZS 100,000/day
Tunahusika na kuandaa ramani za nyumba za kisasa, makadirio vifaa na ufundi, usanifu wa mandhari, usimamizi na ujenzi wa nyumba kwa ubora!
From TZS 100,000/day
Exterior & Interior Designers; Building Design & Construction Experts in Tanzania!
From TZS 75,000/day
Ramani Za Nyumba Na Ujenzi Bora
From Rate on request
Ramani za Nyumba Tanzania ni wataalamu wa ujenzi wa nyumba kutoka katika steji ya wazo, ushauri, usanifu, makadirio hadi kujenga nyumba, kujenga kama ilivyo sanifiwa katika mchoro. Tunajenga nyumba za kawaida na maghorofa. Labda uwe unataka nyumba za contemporary/hidden roof au za kawaida... zote tunajenga kwa ubora mzuri bila kujali ukubwa wa nyumba ilivyo. Gharama zetu ni nzuri zenye ubora wa kazi.
From TZS 75,000/day
Design and Visualize Your Project With Us.
From TZS 30,000/day
Kwa maitaji ya milango, makabati, vitanda , showcase, nk wasiliana na chidy furniture. Tupo kigamboni, Karibu tukuhudumie
From TZS 30,000/day
Kwa kazi nzuri za chuma ni jukumu letu sisi
From TZS 40,000/day