TZ
From TZS 40,000/day
Mwanza
9 years
Mimi nina uzoefu wa zaidi ya miaka 9 katika ufanyaji wa plumbingi katika nyumba na kwa ustadi wa hali ya juu kabisa na kuzingatia ubora nimefanya kazi nyingi mkoa wa mwanz na dar es salaam
Plumbing
TZ
From TZS 20,000/day
Njombe mji
7 years
Mimi ni fundi welding mwenye uzoefu wa miaka saba katika kazi ya welding, na miaka minne maalum katika PVC na alumini. Nimebobea katika ufungaji, matengenezo, na ukarabati wa vifaa vya PVC na alumini kwa uangalifu wa hali ya juu. Uzoefu wangu unaniwezesha kutoa suluhisho za ubora, kuhakikisha usalama wa kazi, na kutatua matatizo kwa ufanisi. Nina dhamira ya kutoa huduma bora na kuhakikisha kuridhika kwa wateja kwa matokeo yenye nguvu na ya kudumu.
Welding Window Installation
TZ
From TZS 40,000/day
Kigamboni
14 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha Nina ujuzi wa kuezeka Mapaa kwenye nyumba Kwa kutumia mabati ya aina tofauti tofauti na kuacha paa lako likiwa na mvuto mzuri.
Sheet Roofing Shingle Roofing Tile Roofing
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
6 years
Naweka tiles katika nyumba kwa maua tofauti tofauti kupendezesha nyumba na kuimarisha uwanja wakati wa mvua.
Paving
TZ
From TZS 30,000/day
Mufindi
9 years
mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kufanya kazi kuweka masinki chooni na kuweka tailis kwa ubora wa hali ya juu kabisa na kwa kusingatia ubora wa nyumba pamija na choo chako bila ya kusahau majikoni nako tunaweka
Flooring Tiling
TZ
From TZS 30,000/day
Ilala CBD
10 years
Mimi ni mtaalam wa ufungaji wa taa za umeme wa jua majumbani na kwenye uzio wa nyumba(dance) pia nina funga taa kwenye bustani ambazo Zina tumika kama mapambo pia tuna kuuzia vifaa ambavyo ni imara kabisa na vinavyo dumu Kwa muda mrefu
Solar Electricity
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
12 years
Mimi ni fundi niliye bobea kwenye utengenezaji wa mageti,milango ya chuma, madirisha na aluminium pamoja na kumuwekea mteja kwenye nyumba yake Nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi hii.
Steel Fixing Door Installation Gate Installation Metal Work Welding Window Installation
TZ
From TZS 30,000/day
Temeke
9 years
Mimi nifundi ninaye jihusisha na swala zima la uwekaji urembo kwenye nyumba Kwa kutumia mchanganyiko wa cement na mchanga Kwa ubunifu wa hali ya juu na nina uzoefu wa kutosha nikiwa na fanya kazi hii.
Plastering
TZ
From TZS 30,000/day
Ludewa
9 years
fundi plastering kwa nyumba yako kwa ustadi na uzoefu wa miaka tisa katika kazi hii ya plastering pamoja na uwekaji wa urembo kwenye nyumba yako kwa uaminifu na kwa bei ambayo ni rafiki
Plastering
TZ
From TZS 40,000/day
Kinondoni
9 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa muda mrefu Nina ujuzi wa kuweka tiles na urembo Kwa kutumia tiles kwenye nyumba yako, Nimesha fanya kazi sehemu nyingi hapa Tanzania na zote zimekuwa katika ubora wa hali ya juu pia gharama ni nafuu kabisa Kwa wanao hitaji huduma hii
Tiling
TZ
From TZS 40,000/day
Kigamboni
19 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha nina ujuzi wa kuweka Mapaa kwa kutumia mabati ya Msouth na nina mafundi ambao Wana uzoefu na kazi hii na kulifanya paa lako likiwa lina vutia,tuna fika mikoa yote hapa Tanzania Kwa ajili ya kazi hii na mteja kwetu anapewa kipaumbele cha kusikilizwa
Plumbing
TZ
From TZS 20,000/day
Dar es ...
7 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa miaka nane katika uwekaji na fanyaji wa plumbing katika nyumba maofisi na makampuni kazi ya kuzingatia viwango na kwa ustadi mkubwa kwa bei nafuu kabisa
Tiling Plumbing Plastering
Builder Experience
Builder Experience
Builder Modified
Builder Modified
Builder Rate
Builder Rate - slider
Tshs.10,000/= β€” Tshs.200,000/=
Builder Gender
Builder Gender
Builder Verification
Builder Verification
Builder Type
Builder Type
Builder Points
Builder Points
Builder Skills
Builder Skills
More