Nina ujuzi wa kuezeka paa Kwani nina vijana ambao wame bobea kwenye swala zima la uezekaji wa mapaa, na tuna tumia vifaa Bora na vya kisasa kuhakikisha mteja ana pata kile kilicho bora kabisa na tuna panga budget na mteja pia tuna mpatia ushauri pale unapo hitajika
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Mbao | 4Γ2, 2Γ2,8Γ1 | per-metre | |
Misumari | Nch 4,3,2 | per-kilogram | |
Mabati | Msouth | per-single-floor-house-150-sqm |
Other Services from Structural Designing, Sheet Roofing, Shingle Roofing Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!