Scan With Your Mobile
to Get it Handy
Finishing bora na ya ufahari ndiyo kipaumbele chetu
Masomo yote
Nina ushukuru uongozi wa shule yangu ya msingi kwani umekuwa msaada kwangu kwenye kufanikisha swala zima la kujifunza kusoma na kuandika na pia stadi za kazi nilizo fundishwa zimenisaidia kuya tambua mazingira yanayo nizunguka na kuishi vyema kabisa