Scan With Your Mobile
to Get it Handy
Paua paa lako kisasa
masomo yote
Nina ushukuru uongozi wa shule yangu ya msingi kwani umekuwa msaada kwangu katika swala zima la kufanikisha mimi kujua kusoma pamoja na kuandika pia kwa kupitia elimu hii nimeweza kujifunza namna ya kutunza mazingira na namna ya kuishi na watu wanao nizunguka kwa upendo.