Scan With Your Mobile
to Get it Handy
Roni electrical solution ndiyo chaguo lako
Science
Nina ushukuru uongozi wa shule yangu kwani umekuwa misaada kwangu kwenye swala zima la kuhakikisha napata elimu bora pamoja na maadili mazuri na kunifanya niweze kujifunza maisha ya shule pia elimu hii imenisaidia kwani nimeweza kwenda kujifunza vitu ambavyo vipo nje ya shule na kujipatia riziki zangu