Scan With Your Mobile
to Get it Handy
Kwa kazi nzuri za chuma ni jukumu letu sisi
Science
Nina ushukuru uongozi wa shule yangu ya sekondari kwani umekuwa msaada kwangu katika swala zima la kunijenga kimaadili pamoja na kukuza ufahamu wangu na kuhakikisha napata maarifa ambayo yameni saidia baada ya kuhitimu elimu yangu ya sekondari nakuanza kujitegemea mimi mwenyewe binafsi