Details
Mimi nifundishe ninayefanya painting nazingatia vizuri vya uchanganya jua rangi nakushauri rangi nzuri ya kupata kwenye nyumba yako na kukupa rangi yenye uwezo wa kudumu kwa muda mrefu
Quality & Control Plan
Safety Control
Kwa kuhakikisha tunavyo vifaa vya kujikinga kama mask gloves ya ngumu na mabuti
Quality Control
Kwa kutumia rangi yenye ubora na kuzingatia utendaji mzuri
Budget Control
Kwa kutumia vifaa na teknolojia yenye kupunguza bajeti
Schedule Control
Kufanya kazi kwa muda uliokubaliana kukuweka zaidi
Satisfaction Control
Kukagua wakati tukiwasaliti na kabla ya kuondoka site
Chronology
Published27 Aug 2024
Modified27 Aug 2024
AuthorEliasi Nsolezi