Details
Mimi ni fundi ninaye piga rangi kwenye nyumba Kwa kuzingatia viwango vya rangi na ubora na rangi huduma Kwa mda mrefu kwenye nyumba Yako Nina uzoefu mkubwa ninefanya kazi na watu wengi
Materials Included
- Ndio Moja ya Rangi (Room)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kwa usalama wa ngangi Yako na ubora mafundi hitumia vifaa vya kisasa kijuzuia na kufanyia kazi na wakiwa kazin
Quality Control
Kwa ubora wa nyumba Yako tuna tumia rangi ambayo hudumu Kwa myda mrefu kwenye nyumba na ikichafuka hufaa kuosha
Budget Control
Bajeti ni ya kawaida na yenye kuweza kutumika na Kila mtu Kwa kutumia vifaa bora
Schedule Control
Kwa kuzingatia mda wa kazi na mda kuingia na kutoka site na kuhakikisha mteja anapewa kaz ndan ya mda alio panga Kwa makubaluano
Satisfaction Control
Tutana hakikisha mteja anarudhika Kwa kumoa kilicho bora
Chronology
Published15 Aug 2024
Modified15 Aug 2024
AuthorSalehe Gondo