Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 303.65 / Sq Metre Sq Metre
Duration
3 Weeks Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Continental Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Nickson Lyimo
Nickson Lyimo
Garderner Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina uzoefu wa kutengeneza vyungu vya maua, bustani ya maua katika nyumba, ofisi na hotel. Pia nina ubunifu katika kupanda maua mazuri kupendezesha nyumba na kuhudumia bustani katika maeneo mbalimbali nchini

Materials Included

  • Maua, vyungu, udongo, jembe, reki (10 Item)

Quality & Control Plan

Safety Control Kuweka vyungu vya maua mahali pazuri ambapo siyo rahisi kuvunjika.
Quality Control Kuweka mbolea katika bustani ili maua kustawi vizuri
Budget Control Kufanya kazi kwa muda mfupi na kwa ustadi wa hali ya juu
Schedule Control Kufanya kazi kila siku mpaka kazi itakapomalizika
Satisfaction Control Kubuni na kutengeneza maua kulingana na maelekezo ya mteja, pamoja na kumaliza kazi kwa wakati.

Category

Gardening

Chronology

Published22 Aug 2024

Modified22 Aug 2024

AuthorNickson Lyimo

Tags

No tags available

Service Data

Category
Gardening
Type
Physical Work
Rate
USD 303.65 / Sq Metre
Duration
3 Weeks
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Continental
Provider
Nickson Lyimo
Nickson Lyimo |
0.0 (0)
| 1 Services
No other services found.
Comments
No reviews recorded