Mbao zetu zina patikana kwenye mikoa mbali mbali hapa Tanzania na zina ubora mzuri kwani zina dawa ambazo zina zuia kuliwa na wadudu kama mchwa, na tuna usafiri ambao unatuwezesha kupeleka mbao Kwa wateja wetu wote,pia tunawasikiliza wateja wetu wote wanao hitaji mbao na kuwapa ushauri pale unapo hitajika
Published31 Jul 2024
Modified31 Jul 2024
AuthorFredy Kilas