Details
Nina uzoefu wa kuweka gysum board katika nyumba zote nchini Tanzania kwa maua mbalimbali ya kufanya nyumba ipendeze na kuvutia zaidi.
Materials Included
- gypsum board (30 Per Single Floor House 150 Sqm)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kuweka mbali na maji kuepusha kuharibu gypsum board
Quality Control
Kutengeneza maua yanayopendeza katika nyumba
Budget Control
Kufanya kazi ndani ya muda mfupi
Schedule Control
Kufanya kazi kila siku
Satisfaction Control
Kukabidhi kazi ya mteja kwa wakati sahihi.
Category
Gypsum Decoration
Chronology
Published29 Aug 2024
Modified29 Aug 2024
AuthorMasaulwa Baraka