Details
Mimi ni Matalan wa Ku chimba mashimo taka ya kisasa na yasiyo jaa maji,Nina tumia matofali imara na yanayo saidia kupitisha maji kwenye aridhi na kufanya choo kisijae Kwa haraka, pia tuna tumia eneo dogo kwenye ujenzi wetu na kumsikiliza mteja anataka urefu gani na upana gani na anapatiwa bajeti nzima ya gharama zitakazo tumika na ushauri ni bure kabisa
Materials Included
- tofali (1000 Item)
- cement (Item)
- mchanga (1 Per Tonne)
Quality & Control Plan
Safety Control
kazi zote za uchimbaji na ujengaji wa shimo la choo zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
nina zingatia ubora wa kuchanganya mchanga na cement
nina zingatia uimara wa karo zima kiujumla
Budget Control
mteja anapatiwa gharama zote za uchimbaji wa choo
Schedule Control
tuna hakikisha kazi inaisha kwa muda tulio kubaliana na mteja wetu
Satisfaction Control
mteja kwetu ni mfalme hivyo tuna muuliza juu ya kazi tuliyo ifanya anaionaje na kupokea ushauri wake.
Chronology
Published4 Aug 2024
Modified4 Aug 2024
AuthorGeofrey Sikumoja