Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 75.91 / Sq Metre Sq Metre
Duration
3 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Jefferson Rusali
Jefferson Rusali
Fundi wa mabanda ya mifugo Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kujenga mabanda ya Bata ambayo ni simple na haya hitaji gharama nyingi kwenye ujenzi wake na mabanda haya yana sehemu ya ndani na sehemu ya nje ambayo ina wasaidia Bata kwenye kuwa weka chakula pia sehemu ya ndani ina kuwa kwa ajili ya Bata kupumzika na kulala na hata kutaga mayai pia nina mpatia mteja wangu gharama ya vifaa ambavyo vitatumika kwenye ujenzi wa banda lake na kuhakikisha ana ridhika na kazi yangu na pia nina zingatia muda wa kumaliza kazi ya ujenzi wa banda.

Materials Included

  • Cement (1 Item)
  • Mirunda (12 Item)
  • Bati (20 Item)
  • Mbao (12 Item)
  • Mbao (16 Item)
  • Fensi wire (12 Metre)
  • Monkey wire (12 Metre)
  • Misumari (4 Per Kilogram)
  • Misumari (2 Per Kilogram)
  • Misumari (5 Per Kilogram)

Quality & Control Plan

Safety Control Ujenzi unafanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Nina zingatia ubora wa kazi na vipimo
Budget Control Nina mpatia mteja gharama nzima za ujenzi wa banda
Schedule Control Nina zingatia muda wa kuanza na kumaliza kazi
Satisfaction Control Nina hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yangu

Category

Building Designing

Chronology

Published11 Sep 2024

Modified11 Sep 2024

AuthorJefferson Rusali

Tags

No tags available

Service Data

Category
Building Designing
Type
Physical Work
Rate
USD 75.91 / Sq Metre
Duration
3 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Jefferson Rusali
Comments
No reviews recorded