Details
Ninajihusisha na utengenezaji wa mabanda ya njiwa kwa kuzingatia ubora wa kisasa na ubunifu wa hali ya juu. Mabanda haya yanaweza kuhamishwa kutoka sehemu moja hadi nyingine bila kuharibu ubora wake. Pia, mteja anaweza kuyabeba mabanda haya anapohama bila kuyaharibu. Ninampatia mteja wangu ushauri wakati wa ujenzi na vilevile gharama kamili za ujenzi wa banda lake.
Materials Included
- Mbao (10 Item)
- Mbao (5 Item)
- Waya (5 Metre)
Quality & Control Plan
Safety Control
Ujenzi una fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Nina zingatia ubora wa banda
Nina zingatia vipimo
Budget Control
Nina hakikisha mteja ana pata kile anacho stahili
Schedule Control
Kazi zina Isha kwa wakati tulio kubaliana na mteja wetu
Satisfaction Control
Nina hakikisha mteja ana ipenda kazi yangu
Category
Carpentry, Wood Work
Chronology
Published11 Sep 2024
Modified11 Sep 2024
AuthorRhymes Raphael