Nina ujuzi wa kuweka rangi za aina ya con mix na texture decor Kwa kuzingatia ubora wa kisasa na kwa kuzingatia ubunifu wa kisasa pia nina hakikisha mteja wangu ana ridhika na kazi yangu ninayo ifanya na pia nina hakikisha mteja wangu nampatia gharama nzima ya uwekaji wa rangi na kuhakikisha kazi inaisha kwa wakati sahihi kama tulivyo kubaliana
Published4 Sep 2024
Modified4 Sep 2024
AuthorNelly Masila