Details
Nina ujuzi wa kupaka rangi Kwa kutumia vifaa vilivyo bora na Kwa ubunifu wa hali ya juu na Nina mshauri mteja rangi nzuri ya kutumia ambayo ina viwango vya kisasa na inayo shika vizuri pia nina mpatia gharama zitakazo tumika kwenye upakaji wa rangi
Materials Included
- Ndoo ya rangi (Per Second)
- Brushi la kupakia rangi (Per Second)
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina hakikisha rangi ikisha korogwa ina funikwa vizuri ili isigande
Quality Control
Nina hakikisha hakuna michanga inayo changanyikana na rangi
Budget Control
Nina mpatia mteja wangu bajeti nzima itakayo tumika kwenye upakaji wa rangi
Schedule Control
Nina hakikisha namaliza kazi yangu Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Nina chukua ushauri Kwa mteja wangu kulingana na kazi niliyo ifanya
Chronology
Published7 Aug 2024
Modified7 Aug 2024
AuthorBaraka Joseph