Nina uzoefu wa kutosha wa kutengeneza fremu za milango na kuziweka majumbani Kwa kutumia vifaa vyangu binafsi vilivyo bora ambavyo vina niwezeshe kupima eneo la mlango vyema na pia nina tumia mbao ngumu Kuzuia mlango kuliwa na mchwa ,mteja anasikilizwa Kwa kile anacho kihitaji na nina mpatia ushauri pale kwenye uhitaji
Published5 Aug 2024
Modified5 Aug 2024
AuthorOmari Chakunga