Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 75.91 / Sq Metre Sq Metre
Duration
2 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Erick Temba
Erick Temba
Kupaua, gypsum design Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kutengeneza ngazi zenye taa kwa kuzingatia ubora wa kisasa, pia nina tumia ubunifu wa kisasa ili kuzuia taa kuingia maji na kufanya idumu kwa muda mrefu pia nina msikiliza mteja wangu kwa kile anacho kutaka ili kufanya mwishoni nyumba yake iwe na mvuto mzuri na kupendeza pia mteja ana patiwa gharama nzima ya material zitakazo tumika wakati wa ujenzi

Materials Included

  • Taa (Item)

Quality & Control Plan

Safety Control Shuguli za uwekaji wa taa kwenye ngazi zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Tuna zinga tia ubora wa taa na ufungaji wa taa
Budget Control Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima ya material zitakazo tumika
Schedule Control Tuna zingatia muda
Satisfaction Control Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu tunazo zifanya

Category

Lighting Designing

Chronology

Published2 Sep 2024

Modified2 Sep 2024

AuthorErick Temba

Tags

No tags available

Service Data

Category
Lighting Designing
Type
Physical Work
Rate
USD 75.91 / Sq Metre
Duration
2 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Erick Temba
Comments
No reviews recorded