Nina uzoefu waku tengeneza gypsum board za korido na kufanya nyumba au hotel yako ikivutia kwani nina tumia vipimo na ubunifu wa kisasa pia nina msikiliza mteja wangu ana taka korido yake iweje na ua analo penda liwekwe pamoja na kumpatia mahesabu ya gharama na material zitakazo tumika na pia natoa ushauri bure kulingana na aina ya kazi
Published4 Aug 2024
Modified4 Aug 2024
AuthorDachi Semere