Nina uzoefu wa kupendezesha nyumba Kwa kutumia gypsum na kufanya sebule yako iweze kuwa na mvuto, pia nina msikiliza mteja na kumpatia idadi ya material zitakazo tumika kulingana na anavyo taka sebule yake iwe pia natoa ushauri bure kabisa ili kuhakikisha mteja ana ridhika na ubora wa kazi yangu.
Published3 Aug 2024
Modified3 Aug 2024
AuthorAlly Chilumba