Nina uzoefu wa kupiga plasta kwenye fensi pamoja na kuweka urembo Kwa kutumia vipimo, cement na mchanga Kwa ubunifu wa kisasa na kuacha fensi yako ikivutia, Nina msikiliza mteja wangu na kumpatia mahesabu ya gharama zitakazo tumika pamoja na ushauri pale unapo hitajika.
Published5 Aug 2024
Modified5 Aug 2024
AuthorSalehe Mpendu