Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 341.60 / Per Single Floor House 150 Sqm Per Single Floor House 150 Sqm
Duration
14 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Continental Area
0.0
0
0
0
Quantity (Per Single Floor House 150 Sqm)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Deusdedith Kalisa
Deusdedith Kalisa
Fundi tiles Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina uzoefu wa kuweka tiles katika nyumba mbalimbali zikiwemo ghorofa, pamoja na maofisi katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa ufanisi wa hali ya juu. Kazi zangu ni nzuri na zinapendeza katika gharama nafuu kabisa. Pia ninabuni na kutengeneza maua ya aina mbalimbali kupendezesha nyumba kwa kuchora na kukata tiles.

Materials Included

  • tiles, (30 Per Single Floor House 150 Sqm)

Quality & Control Plan

Safety Control kuziweka tiles maeneo mazuri kuepusha kupasuka na kusababisha hasara
Quality Control Kutengeneza maua mazuri yanayovutia, pamoja na kuweka cement nzuri ili ishike na kuwa imara zaidi
Budget Control Kufanya kazi kwa bidii na haraka ili kuepuka kuchelewa kumaliza kazi kutumia gharama kubwa
Schedule Control Kufanya kazi kila siku katika muda wote wa kazi mpaka itakapokamilika na kukabidhiwa kwa tajiri
Satisfaction Control Kuhakikishakazi inakabidhiwa kwa mteja kwa wakati tuliokubaliana ikiwa imekamilika kwa ufanisi wa hali ya juu

Category

Tiling

Chronology

Published20 Sep 2024

Modified20 Sep 2024

AuthorDeusdedith Kalisa

Tags

No tags available

Service Data

Category
Tiling
Type
Physical Work
Rate
USD 341.60 / Per Single Floor House 150 Sqm
Duration
14 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Continental
Provider
Deusdedith Kalisa
Comments
No reviews recorded