Details
Tuna uzoefu wa kutosha katika swala Zima la ufungaji wa solar panel kwenye maofisini, nyumba na viwandani kwani tuna mafundi walio bobea kwenye ufungaji wa solar na tuna toa ushauri bure kabisa Kwa wateja wetu
Quality & Control Plan
Safety Control
Tuna hakikisha usalama wa vifaa kwani shuguli zote Zina fanyika site
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa Sola na ufungaji Kwa kutumia vifaa vilivyo bora kabisa
Budget Control
Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima itakayo tumika kwenye ununuaji wa vifaa
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi ina Isha Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna zingatia ushauri wa mteja na kuhakikisha ana ridhika na kazi zetu
Category
Solar Electricity
Chronology
Published21 Aug 2024
Modified21 Aug 2024
AuthorRichard Tarimo