Tunatoa suluhisho Kwa kuta zilizo athiriwa na fangasi Kwa wateja wetu wote waliopo ndani ya Tanzania na nchi jirani Kwa ubora wa Hali ya juu na tuna hakikisha mteja ana ridhika anafurahia huduma yetu pia tuna tumia njia nzuri kuhakikisha tuna toa eneo lote lililo athiriwa na fangasi na tunatumia dawa za kuondoa fangasi.
Published28 Jul 2024
Modified28 Jul 2024
AuthorJafari Mlimba