Scan With Your Mobile
to Get it Handy
Ujenzi wa Paa kwa Mwonekano Mzuri wa Nyumba!
Carpentrer and joiner
Ally Ninga alisomea ufundi seremala na uungaji wa mbao katika Folk Development College kilichopo ktk Shirika la Elimu Kibaha kuanzia mwaka 1999 hadi 2001, akijipatia ujuzi muhimu kwa kazi yake katika ujenzi na huduma za kuezeka paa.
All subjects
Ally Ninga alisoma Shule ya Msingi Kunduchi nchini Tanzania kuanzia mwaka 1991 hadi 1997, akimaliza elimu ya msingi. Baadaye, alijiendeleza katika Chuo cha Folk Development College kilichopo Mjini Kibaha kuanzia mwaka 1999 hadi 2001, akisomea ufundi wa seremala.