Details
Nina uzoefu wa kufanya wiring katika maghorofa mengi hapa nchini na popote ninapofunga umeme hakuna usumbufu wa umeme wowote unaojitokeza. Kazi hii ninaifanya katika ubora wa hali ya juu kutokana na elimu yangu pamoja na uzoefu nilionao. Ninakukaribisha tufanye kazi pamoja kwa usalama wa nyumba yako. Asante
Materials Included
- mabomba, waya wa umeme
- waya wa umeme soketi
- 150
- per-metre
Quality & Control Plan
Safety Control
Kufunga waya kwa uangalifu pamoja na kutumia vifaa maalumu katika ufanyaji wa kazi
Quality Control
Kufunga mabomba katikaubora kutengeneza njia nzuri za waya wa umeme
Budget Control
Kufanya kazi kwa muda mfupikupunguza matumizi makubwa ya gharama za uendeshaji wa kazi
Schedule Control
Kufanya kazi kila siku kwa ubora kuanzia asubuhi hadi jioni mpaka kazi itakapokamilika
Satisfaction Control
Kukabidhi kazi kwa wakati uliokubalika na mteja
Category
Electrical Troubleshooting, Wiring
Chronology
Published5 Sep 2024
Modified5 Sep 2024
AuthorHussein Ally