Nina toa huduma ya kutengeneza makabati ya majikoni kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa pia nina zingatia vipimo wakati wa kupima square meter za eneo ninalo enda kuweka kabati na nina msikiliza mteja wangu anahitaji kabati la aina gani na kumpatia ushauri pale unapo hitajika pia mteja ana patiwa gharama nzima za utengenezaji na uwekaji wa hilo kabati na nina hakikisha kazi inakuwa ya viwango na kukamilika kwa wakati tulio kubaliana na mteja wangu.
Published23 Sep 2024
Modified23 Sep 2024
AuthorAnthon Makanja