Scan With Your Mobile
to Get it Handy
Uaminifu wa kazi ni kipaumbele chetu
Science
Elimu ya sekondari imenisaidia kupata ujuzi wa kutumia teknolojia na kwa kupitia elimu hii nimeweza kuongeza ufahamu wangu katika kupambanua mambo mbali mbali na kuhakikisha nafikia malengo yangu kwa wakati kwani nimeweza kujiajiri mimi mwenyewe na kujipatia kipato changu binafsi.