Details
Mimi ni fundi wa kutengeneza misingi imara ya nyumba pamoja na kupandisha nyumba mpk kupaua nyumba Yako na kukabidhi nyumba iyo Kwa mda mfupi tyu
Materials Included
- Matofali mchanga cement (Per Contract)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kwa kazi zetu usala ndo kitu Cha kwanza kazi kwahiyo mafundi juchukua tahadhari zote kbl ya kuanza kazi
Quality Control
Ubora wa nyumba upo Kwa kutumia bidhaa he alidi na ambazo zitadumu Kwa mda mrefu kutoka Kwa watu wa kyaminika
Budget Control
Kwa kuchukua bidhaa Kwa watu wanaotuamini husaidia pia kubalance budget Ili Kila mtu mteja na fundi afsidike
Schedule Control
Kazi hfanywa ndan ya mda ulio pangwa na kukabidhi kazi
Satisfaction Control
Kurudhik Kwa mteja Kwa kukagua nyumba Ake na kuridhika ndipo atapo kabidhiwa
Category
Foundation Installation
Chronology
Published15 Aug 2024
Modified15 Aug 2024
AuthorAlly Mbulu