Landscaping & Gardening
UMUHIMU WA KUTENGENEZA MANDHARI YA NJE YA NYUMBA
Utengenezaji wa mandhari (Landscaping) ni utengenezaji wa mazingira yanayozunguka majengo na makazi ya binadamu ili yawe yenye kukidhi matumizi na yenye kuleta uzuri, mvuto, afya na ustawi wa jamii huku yakizingatia uhifadhi wa mazingira. Utengenezaji huu huusisha kubadili na kuboresha sura na kontua za ardhi, uboreshaji miti na mimea, kuweka vitu na samani katika mandhari ... Read more
Finishing & Home Decoration
MAMBO AMBAYO WANAWAKE HUYAJALI NA AMBAYO HAWAYAJALI SANA KATIKA UJENZI WA NYUMBA
Katika miaka kadha ambapo nimekuwa nikiandaa miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba za kuishi, moja ya vitu ambavyo nimevigundua ni nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa nyumba. Wanawake wamekuwa na mtizamo na mapendeleo tofauti katika ujenzi wa nyumba tofauti na wanaume. Katika familia ambayo kuna mume na mke, utofauti ni rahisi sana kuonekana katika mitazamo ... Read more
Cost
FANYA HIVI KUPUNGUZA GHARAMA ZA UJENZI
Moja ya mambo ambayo yamekuwa yakishughulisha na kufikilisha akili za watu wengi ni swala la ujenzi. Jambo ambalo haswa limekuwa lenye kusababisha hiyo tafakari kubwa ni namna ya kuweza kufanikisha gharama zinazohitajika. Gharama ni jumla ya nguvu, rasilimali na uwezo ambao unahitajika ili uweze kupata kitu ambacho unakitaka. Katika ujenzi, gharama huangukia katika rasilimali ... Read more
Cost
JE, NI AINA GANI YA NYUMBA INAYOKUFAA KUJENGA?
Swala la ujenzi ni moja kati ya maswala nyeti ambayo yanayowafikirisha watu, taasisi na serikali namna ya kutekeleza. Kiasi kikubwa cha fedha hulipwa ili kuendesha ujenzi. Asilimia kubwa ya uwekezaji kwa watu na taasisiunalenga katika ujenzi. Hata serikali hutumia asilimia kubwa ya bajeti katika ujenzi. Serikali, taasisi, makanisa huwekeza katika ujenzi kwa gharama kubwa. ... Read more
Legal
JE, NI AINA GANI YA KIWANJA KINAFAA KUNUNUA?
TAMBUA MAHITAJI YAKO Ni jambo la msingi kwanza kutambua unanunua ardhi kwajili ya kufanyia shughuli gani; je, ni makazi, biashara, huduma za jamii, viwanda n.k. Hii ni hatua ya awali kabisa kwani itakusaidia kuweza kuamua majibu ya maswali mbalimbali utakayo kutana nayo mbeleni. Ni muhimu kuchanganua uhitaji wako wa ardhi katika matumizi utakayofanyia, mipango ya ... Read more