Scan With Your Mobile
to Get it Handy
Nipe kazi nikuonyeshe maujuzi
Science
Elimu hii ya sekondari niliyo ipata imekuwa msaada mkubwa kwangu kwani nimeweza kujitambua na kupambanua maisha na kujifunza vitu ambavyo ni nje ya darasani na kuanza maisha ya kujitegemea