Details
Nina ujuzi wa kupendezesha nyumba Kwa kutumia mchanganyiko wa mchanga na cement ,pia Kwa kutumia vifaa vyangu binafsi ambavyo vina niwezeshe kupima na kutengeneza maua kwenye nyumba sehemu kama vile nguzo za nyumba, madirishani,kwenye Kona za nyumba pia nina mpatia mteja wangu gharama zote zitakazo tumika kukamilisha ujenzi huo na kumpatia ushauri pale kwenye uhitaji.
Materials Included
- Mchanga (Per Second)
- Cement (Per Second)
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina hakikisha eneo langu la kazi Lina kuwa na ulinzi wa kutosha
Quality Control
Nina hakikisha Nina tumia vifaa vya kisasa ambavyo vinanisaidia kwenye ujenzi
Nina hakikisha na changanya mchanga na cement vizuri
Budget Control
Nina mpatia mteja wangu gharama ya vitu vitakavyo tumika kwenye ujenzi
Schedule Control
Nina hakikisha kazi ina Isha ndani ya muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Nina msikiliza mteja wangu yeye anaongeleaje kazi yangu na kuchukua ushauri
Chronology
Published9 Aug 2024
Modified9 Aug 2024
AuthorMsanzya Hamisi